Saturday, July 18, 2015
Hadithi na Simulizi
Habari wasomaji na watembeleaji wa blogu hii. Hiki ndicho kipengele kikuu kilichopelekea kuanzishwa kwa blogu hii ili kuweza kuwapatia burudani wale watakaoshindwa kupata nakala halisi za kazi zangu za fasihi. Katika kipengele hiki cha hadithi na Masimulizi, mtapata kusoma bure hadithi na simulizi zangu. Pia mtaweza kutoa maoni kwa kazi hizo na kushiriki nami kwa namna fulani kwa kazi ambazo zitakuwa zikitolewa kwenye blogu hii huku zikiendelea kuandikwa. Nawakaribisha sana na tegemeeni yaliyo mazuri kutoka hapa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment