Habari tena wasomaji na watembeleaji wa blogu hii...
Kipengele hiki kinalenga kukuletea mafunzo mbalimbali unayoweza kuyapata kutoka kwenye filamu mbalimbali. Kwa vile zipo blogu na mitandao mbalimbali ambayo mtu anaweza kuona mafunzo ya namna hiyo, katika blogu hii mafunzo yatakayopewa kipaumbele ni yale yenye sifa mojawapo kati ya hizi: kutokuwa malengo makuu ya filamu na pia kutokuonekana wazi wazi kama ni mafunzo kutoka kwenye filamu hizo. Si malengo lakini haimaanishi kwamba mafunzo hayo lazima yawe ya kipekee au tofauti na blogu zingine zote.
No comments:
Post a Comment